Karibu Sauti Ya Quran FM Radio
Chombo cha habari cha Kiislamu (BAKWATA)
KUHUSU SAUTI YA QURAN FM
Usajili na Umiliki
Sauti Ya Quran Fm Radio ilisajiliwa rasmi chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) mwaka 2000, na inamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
Eneo Tulipo
Radio yetu ipo kwenye makutano ya Barabara ya Lindi na Shaurimoyo, Kata ya Gerezani Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam (Jengo la Al-Haramain Islamic College).
Tunapo Sikika
Eneo ambalo Radio yetu inafika ni katika Mkoa wa Dar es Salaam, mkoa wa Pwani, mkoa wa Tanga, Mkoa wa Lindi, mkoa wa Morogoro, na Zanzibar.
Lengo na Dhamira
Lengo letu: Kutafsiri Uandishi wa Habari kitaaluma na kiutendaji kwa mwongozo wa maadili.
Dhamira yetu: Kuhabarisha,Kukumbusha, Kuburudisha (kwa njia nzuri), na Kuelimisha jamii.
ENEO TUNALOFIKIA
SIKILIZA LIVE SASA
VIPINDI VYETU
ASUBUHI NJEMA
Lengo: Kuhabarisha Jamii
Siku: Jumatatu - Ijumaa
Muda: 1:30 - 4:00 ASUBUHI
TENGENEZA MAISHA
Lengo: Kuelimisha
Siku: Jumatatu - Alhamisi
Muda: 6:30 - 8:15 MCHANA
BUSATI
Lengo: Kuelimisha na Kuhabarisha
Siku: Jumatatu - Alhamisi
Muda: 8:15 - 10:00 JIONI
HABARI KWA UFUPI
Lengo: Kuhabarisha
Siku: Kila Siku
Muda: 4:00 ASUBUHI
HABARI
Lengo: Kuhabarisha
Siku: Kila Siku
Muda: 1:00 ASUBUI, 6:00 MCHANA, 4:00 USIKU
ZIJUE TAASISI ZETU
Lengo: Kuelimisha jamii
Siku: Jumatano
Muda: 5:00 - 6:00 MCHANA
KUTOKA NDANI YA QURAN
Lengo: Ukumbusho
Siku: IJUMAA
Muda: 08:20 MCHANA - 09:20 ALASIRI
NASAHA ZA WIKI na AFYA NA LISHE
Lengo: Kuhabarisha/Kuelimisha
Siku: Jumamosi
Muda: 1:30 - 4:00 ASUBUHI
WATOTO NI WETU
Lengo: Kuelimisha/Kuburudisha
Siku: Jumamosi
Muda: 4:00 - 5:00 ASUBUHI
MADRASA ZETU
Lengo: Kuelimisha
Siku: Jumamosi
Muda: 8:20 - 9:20 ALASIRI
DIRA
Lengo: Kuelimisha na kuhabarisha Jamii
Siku: Jumapili
Muda: 1:00 - 10:00 ASUBUHI
SAUTI YA VIJANA
Lengo: Kuelimisha/Kuburudisha
Siku: Jumapili
Muda: 5:00 ASUBUI - 6:00 MCHANA
USHIRIKIANO NA WADAU
Mwaliko kwa Washirika
Tunawaalika wadau wa maendeleo kutoka sekta mbalmbali, kampuni za biashara, NGOs, CBOs, na yeyote anayetaka kudhamii Vipindi vyetu kwa kutangaza bidhaa au huduma yake.
WASILIANA NASI
Tuandikie Barua Pepe
Bonyeza kitufe hapa chini kuandika barua pepe moja kwa moja:
Maelezo ya Mawasiliano
Barua Pepe: info@sautiyaquranfm.co.tz
Simu: +255 757 524 883
Anuani: Lindi & Shaurimoyo Streat, Kariakoo, Dar es salaam
Masaa ya Kazi: Jumatatu - Jumapili: 9:00 AM - 5:00 PM